HOME

Wednesday, 4 January 2017

TUMIA COMPUTER YAKO KAMA ANDROID KWA KUTUMIA BLUESTACK SOFTWARE





BlueStacks ni program ya kwenye komputa inayomwezesha mtumiaji kuweza kutumia programu nyingine za simu kama vile WhatSapp, instagram na programu nyingine za simu. Ilichokikosa tu ni kwamba haiwezi kupiga simu kwa njia ya kawaida, lakini kila kitu cha kwenye mtandao kinakubali.
Kwa mfano, ipo progrmu ya "Mobdro" inayoweza kumsaidia mtumiaji kuangalia Tv kwenye mtandao.

Pakua programu hapa

No comments:

Post a Comment