HOME

Tuesday, 3 January 2017

JINSI YA KUTAMBUA KAMA MEMORY CARD NI FAKE AU ORIGINAL.

Memory card zimekuwa ni msaada mkubwa kwenye uhifadhi wa data zetu   kumekuwa na memory card nyingi sana mtaani lakini sio zote ni original. Unaweza nunua memory card ya 2 gb 4 gb au 8 gb na ukakuta uwezo wa memory card ni nusu ya uwezo ulioandikwa juu kwenye memory card na unaweza ukaangalia propert yake na ukaona ujazo sahihi uliopo juu kwenye sd card yako lakini inakuwa haina uwezo ule uliouona

Aina za Memory card

SDXC     Ukubwa wa 64 GB hadi 2 TB

SDHC





Ukubwa wa 4 GB hadi 32 GB

SDSC

Kampuni zimekuwa zikitengeneza memory card zenye uwezo mdogo na kuweka logo za memory original ili wapate soko


JInsi Ya Kutambua Memory Card Fake Na Original

Kwa computer 

kuna software ambazo zinatumika kutambua memory card software hizo ni kama H2testw na fake flash test 
 H2testw ndio software nzuri kwa kazi hiii kwani inaweza kutambua flash disk pia 

kwa kutumia simu 
download app inaitwa insight
weka memory card yako kweny simu na fungua app yako ya sd insight  na app inatakiwa kukupa taarifa zot muhimu kuhusu memory card yako kama ni original au fake basi utapata kujua kwa kuwa itakupa ujazo kamili wa memory card yako

No comments:

Post a Comment