Kama wewe ni mtumiaji wa Facebook bila shaka utakuwa pia ukitumia app ya facebook messenger ili kuchat na jamaa zako kupitia facebook messages.
Lakini kwa sasa facebook wanapenda kushare nawe habari njema kutoka kwenye app yao ya messenger hii ni uwezo wa kutumia app hiyo ya facebook messenger kutuma sms za kawaida kwa jamaa zako kama unavyofanyaga kupitia app ya sms inayokuja na simu yako.
Facebook wamefanya hivi ili kukurahisishia wewe kuweza kuwasiliana kwa urahisi na jamaa zako kupitia njia ya sms.
App hii ina sehemu mbili za message 1. Message za facebook 2. Message za kawaida. Hivyo utakapo tumiwa ujumbe ujumbe huo huingia katika sehemu husika.
Ili kuweza kuitumia app hii kama app ya kutuma na kupokea sms za kawaida unatakiwa uiset kama default app ya kutuma na kupokea sms. Lakini pia kabla ya yote utalazimika kui update ili kipata version mpya yenye option hii.
Hali inaonesha kwamba siku za usoni simu zitakuwa zikija na app ya facebook messanger kama inbult app ya kutuma na kupokea sms.
App hii kwa sasa ina uwezo wa kifanya kazi bila hata ya kuwasha data hivyo huna haja ya kuhofia kuwa hutopata sms zako za kawaida kama data ikiwa off.

No comments:
Post a Comment